Hapa ndipo utakapojuwa kuwa Wasafi bila Diamond ni kama genge la wavuta bangi

Hapa ndipo utakapojuwa kuwa Wasafi bila Diamond ni kama genge la wavuta bangi

Umasikini haujawai kuisha kwa kumchukia mwenye Hela

Thank me later
 
Huyu bwana mdogo akiamua kubadili uraia na kuchukua wa nchi jirani kama Kenya adhabu yake itaendelea kuwa valid? Hawa mgambo wa BASATA wasisahau kuwa dogo ana mpenzi upande wa pili wa nchi kwa sasa.
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.

Wengine tulisema humu humu. Bongo ukitaka mishe zako ziharibike wewe jihusishe na wanasiasa design ya akina Bashite! Diomond nilianza kuona anapoteza dira alivyoanza kukumbatiana na hawa wanasiasa wenye kiu ya madaraka. Wanakutumia....mwisho wa siku wanakutosa! Dogo katika kufanikiwa amekoroga wengi...sasa waliopo mda ukiisha watakaoingia nao wanakuja na yao....

Wanasiasa siyo watu! Be careful. Wananchi wa kawaida tulimuonya......anachokifanya siyo kipya. kilichafanywa na wengine wengi tuu! Aangalia walikoishia..
 
Watafunguliwa,haitazidi hata mwezi mmoja.
Tena amri ya kuwafungulia itatoka juu .
 
Joseph kusaga kwa mikafara uwiii
 
Hivi mmesikiliza nyimbo zote za wasanii au roho mbaya na wivu kwa mafanikio ya MONDI.Wanamziki karibu wote wanaimba matusi mwanzo mwisho.Mmeshasahau enzi za MUHOGO WA JANG'OMBE au BASATA ilikuwa haijazaliwa????HUU WOTE WIVU muombeni awakatie kidogodogo alichopata kwenye Festival yake basi
 
Basata msimamo zero mwaka hauishi huu wataendelea na kazi
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.


Wawafunge hata milele, kwanza muziki wao ni wa kijinga mno.
 
Naskia Uhuru Kenyata anataka kumpa uraia wa Kenya
 
Akiwa raia wa kenya na kuingia TZ anapigwa pini pia.. AMEWEKA UGOKO WATU WAMEWEKA JIWE..
 
Back
Top Bottom