Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Hio miaka 2 sidhani, ila kwavile kalishushua ATCL huenda ikatimiaKuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Kwa matumizi makubwa waliyonayo hata pesa iliyopo itateketea harakaIli mradi wasilale njaa,wana pesa tayari
Singeli Kama kawa wataendelea kumwaga mitusiHatutasikia nyimbo za mitusi
kiki on fleekKuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Acha kuwa na akili za kitumwa, home ndio kila kitu. Ubadili uraia then ufurahie maisha?! Sahau. Hutakaa ujiachie na kuenjoy kama home. Kwanza fikiria wangapi watataabika kwa kutokuwepo kwake. Cha msingi yaishe haya. Akienda hata Kenya madafu anayomiliki bank hayamalizi 5 yearz plus malezi ya madogo south??? Simba anajituma kwa mengi jamani.Ningekuwa mimi ningebadili uraia as long as naweza kuishi popote pale na nikatusua.
Pole yakeNaskia diamond anaenda kuishi kenya pamoja na tanasha
Nani kakudanganya home ndio kila kitu? Unafikiri akiamia Kenya mziki wake utakufa au atakosa show? Kama serikali inajua wapo watu watakaotaabika kwa namna hiyo unayofikiria wewe kulikuwa na haja gani ya kutoa severe punishment? Kuhusu suala la madafu sina cha kusema hapo.Acha kuwa na akili za kitumwa, home ndio kila kitu. Ubadili uraia then ufurahie maisha?! Sahau. Hutakaa ujiachie na kuenjoy kama home. Kwanza fikiria wangapi watataabika kwa kutokuwepo kwake. Cha msingi yaishe haya. Akienda hata Kenya madafu anayomiliki bank hayamalizi 5 yearz plus malezi ya madogo south??? Simba anajituma kwa mengi jamani.

Nani kakudanganya home ndio kila kitu? Unafikiri akiamia Kenya mziki wake utakufa au atakosa show? Kama serikali inajua wapo watu watakaotaabika kwa namna hiyo unayofikiria wewe kulikuwa na haja gani ya kutoa severe punishment? Kuhusu suala la madafu sina cha kusema hapo.
Sawa Mke wa basataKuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Watawau kwa njaa.Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Wasafi festival nayo si imeondolewa kibaliKuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Yani humu JF hata mtapisha vyoo anajifanya ana taarifa za kiintelijensia.Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.