Hapa ndipo utakapojuwa kuwa Wasafi bila Diamond ni kama genge la wavuta bangi

Kumbukeni Diamond alipitisha miaka 2 bila kupiga show Tanzania. Na aliishi kwa show za nje tu. Kama akihamia Kenya atasurvive
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Hio miaka 2 sidhani, ila kwavile kalishushua ATCL huenda ikatimia
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
kiki on fleek
 
Ningekuwa mimi ningebadili uraia as long as naweza kuishi popote pale na nikatusua.
Acha kuwa na akili za kitumwa, home ndio kila kitu. Ubadili uraia then ufurahie maisha?! Sahau. Hutakaa ujiachie na kuenjoy kama home. Kwanza fikiria wangapi watataabika kwa kutokuwepo kwake. Cha msingi yaishe haya. Akienda hata Kenya madafu anayomiliki bank hayamalizi 5 yearz plus malezi ya madogo south??? Simba anajituma kwa mengi jamani.
 
Nani kakudanganya home ndio kila kitu? Unafikiri akiamia Kenya mziki wake utakufa au atakosa show? Kama serikali inajua wapo watu watakaotaabika kwa namna hiyo unayofikiria wewe kulikuwa na haja gani ya kutoa severe punishment? Kuhusu suala la madafu sina cha kusema hapo.
 
Kibol weka mziki wake pembeni, yatizame maisha. Hata hao Diaspora wapo wanaotamani home. Nyumbani ni nyumbani Kibol.
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Sawa Mke wa basata
 
Watawau kwa njaa.
 
Wasafi festival nayo si imeondolewa kibali
 
Hizi chuki zitawaisha lini,! Mleta uzi we n ngeke ,diamond wamemuachia na yupo Kenya anapiga show kama kawa
 
Wakati wewe unanunua pop corn kufurahi adhabu ya BASATA basi kumbe msamaha tayari umepita.
 
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki kinaweza kudumu kwa miaka miwili.
Yani humu JF hata mtapisha vyoo anajifanya ana taarifa za kiintelijensia.
 
Harmonize keshatengeneza njia nzuri wew mambo yakibana ataendelea kazi
 
Back
Top Bottom