nahisi mm ni yule mwl mjinga wa mwisho ambaye najua kwamba serikali yangu ilipaswa inijali pasipo cwt. ila bado mm ka experience yangu nddani ya cwt na kama mwl ninasema wazi kabisa tatizo la waalim wa tanzania lipo cwt na siku ikiondoka hii madarakan fani ya ualimu itakuwa ni fani bomba kuliko hata ukurugenz but so long as ipo nasema wazi mtahamasishana msifundishe wanafunzi matokeo yake natengeneza taifa leye vilaza na bado suluhu ya matatizo ya uali ispatikane.
nenda hapo kenya tu angalia chama chao cha waalimu wanavyofabya kazi walidemonstrate wakaitisha migomo ambayo hawakuwa na nafsi za nyeupe/nyeusi na serikali ikawaskiliza angalia salary scheme waalim kwa kenya kisha uje uangalie kwa hapa kwetu.
halafu njoo uingie kwenye vikao na cwt na serikali uone cwt inachopresent, ingekuwa sijawah kushiriki hizo dhambi nisingelisema haya.
siitetei serikali lkn pia siungi mkono wanafunzi kuadhibiwa kwa kutopewa haki yao ya kufundishwa kwa kosa la serikali. kama ndivyo serikali iadhibiwe kama mtasain petition kma wananchi msio kuwa na imani na serikali yenu do it ila msiwahukumu wanafunzi.