Hapa ndipo wanaponimaliza kabisa hawa watu !

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
413
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza ni kwa kiasi gani akina dada wengi, si wote linapokuja suala la kutaka mapenzii basi mwanaume ndio huwa mwanzilishi lakini mchakato unaposhika kasi huyu mdau huwa kinara kwa mbwembwe, miguno na maneno kedekede. Niliwahi kumwambia mmoja kuwa siku moja ajaribu kuanzisha hoja yeye akadai kuwa wanawake ni watu wa aibu....aibuu??? mchana mwema!:lol::lol:
 
Bwana ehh....
Mi huwa kinanichekesha , leo anakiri kuwa unamkuna ile mbaya, mkiachana anaponda eti ulikuwa humfikishi kileleni.
 

Pale jamii itakapo acha kuwapachika jina la 'uchangudoa', 'malaya', na majina mengine katika mwelekeo huo ndipo hapo watakapo jiona nao ni wenye usawa kwa yote katika mahusiano.

Jiulize, ni kwanini mwanamme anaonekana ni mwenye ngekewa kutembea na mademu wengi lakini kwa mwanamke jambo hilo ni la kulaaniwa?? Na pahala pengine wanaume wameruhusiwa hata kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Nasubiria karne ambapo mambo haya yatakuwa na uwiano sawa. But right now, somewhat, something tells me this is all biological.
 
ahhhhhhhhhhhhbabu weweeeeeee!!!! yan ulilie kuchanjwa ?we uliona wap bwana wewe?
yap its among of FUNDAMENTAL RIGHT .......even women r titled on claiming t bt mmh apana.........cha kuombwa bin kuanzwa ndo kitamu babu........
kuna sababu fulan zinazofanya wadada wasiwe wa kwanza katika kuchokoza NYUKI.......
1.wanaume wanaupenda sana ule mchezo ata km mmefanya alfajiri after breakfast atataka tena ...wakat wewe hauna hata hamu ...........poa utampa ......afta lunch kwenye saa 10 ivi ukimkalia vibaya atataka kukudinya tena..........sasa mwelekeo km uo unazan uyo demu wako atakuwa na hamu kweli ya kukuomba?sisemi kwa vibaya its just yeye anakuwa HANA HAMU WADUDU WOTE WAMELALA........cz unampaga mara nyng lakin kama nyie mwanaume mngekuwa mnauchuna labda km wiki ivi bila kugusia ni lazima demu wako angegongea ....!!!!!!!!!!!
bt kwa trench i daily unataka km sala ya babayetu then unategemea akuanze sahahu smply bcz ye anakuwa hana hamu ushazimaliza na anajua uyu haina haja ya kumuanza cz atanianza tu!!!!!!!!!!
MAONI
usimguse demu wako kwa wk mbili then uone km atakuanza ama ........au km vp wekeanen ratiba nyuma ya kitanda apo thats j1 alha zamu yako kuanza game the rest z mine.......u man.......!!!!!!
nawasilisha
 
To a great extent nakubaliana nawe na pia aliye sema it is bilogical thing ,lakini katika mambo mengi likiwemo hili ni kwamba men are known as"BRAINS" and women are "machines" sasa hapa naona mashine lazima zianziahwe na only brains can start machines.Ni sawa na kusema akili ndiyo inaenedsha masozi (muscles)
 
...nilishawahi kukaa naye mbali kwa mwezi mzima na niliporudi nikajifanya kumpotezea kama sihitaji vile nione kama atalianzisha au vipi? naona mdau kauchuna tu asubuhi tuko mezani tunapata kifungua kinywa ananiuliza mbona jana hata hukunigusa au ulichakachua ulikotoka? nikamwambia nilikuwa nasubiri ulianzishe...alicheka mpaka akajimwagia chai kwenye nguo! eti loh! siwezi kulianzisha mpaka mwanaume uanze!
 
Bwana ehh....
Mi huwa kinanichekesha , leo anakiri kuwa unamkuna ile mbaya, mkiachana anaponda eti ulikuwa humfikishi kileleni.
....tetehhh! bora ujitahidi tu kumpandisha hivyo hivyo tu. huwa wanaongea sana usipowafanyia kweli..........
 
Hapa ndugu nakubaliana nawe,kwani wanawake wanahisi not secured na hivyo kila hatua inakuwa calculated.Hata wanapotemebea hujiangalia angalia sana miilini mwao kana kwamba kuna kitu bado pungufu...that is their nature then..
 

Mimi naona kama tunatofautiana 'approach' tu! Hata wao wana namna zao za kufikisha ujumbe ingawa ni za kimyakimya lakini 'mara kadhaa' ujumbe huwa unafika. Wana 'mitego' hao....usiwaone hivyo!
 
Mimi naona kama tunatofautiana 'approach' tu! Hata wao wana namna zao za kufikisha ujumbe ingawa ni za kimyakimya lakini 'mara kadhaa' ujumbe huwa unafika. Wana 'mitego' hao....usiwaone hivyo!
...kwa jinsi niwaonavyo mimi hiyo mitego yaweza kuwa ya muda tu lakini mwishoni hata akiwa na njaa utashangaa hawezi kukuambia nahitaji chakula. Lakini wewe ukiamua kumuomba akikutengea utashangaa atakavyochacharika mpaka unajiuliza huyu mtu siku zote hizi alikuwa anasubiri nini kusema kuwa anataka hii maneno!??:A S 8::becky::A S 8:
 
Mi mbona nyumba ndogo yangu inanisumbua sana tokea jana, eti "hny nina genye!"
 
Mi mbona nyumba ndogo yangu inanisumbua sana tokea jana, eti "hny nina genye!"
...Hongera bana.!! sijui wa kwangu ana matattizo gani....ila nitakapolianzisha shughuli yake haielezeki ndio maana najiuliza kwa nini mzuka anakuwa nao lakini anasubiri mpaka nichokonoe mimi wakati hata yeye anapaswa kugusa??
 
Mwanaume gia box yake ni automatic mwanamke ni Manual, sasa ratiba itapangwa ila nakuhakikishia haitafuatwa? weee kuna watu network kila saa ipo juu sasa ukizingatia mnara wa mawasiliano upo pembeni weeeeee!
 
Mimi wa kwangu huwa hasubiri kuanzwa bali hunianza mara tu anapokuwa anajisikia na huniambia kwa uwazi kuwa nataka mambo fulani.
 
Naskia wanafundishwa kitchen party kutomwanza mwanaume, ila wanatakiwa kujikatalisha kwanza af wanapotoa, kitu full.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…