Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza ni kwa kiasi gani akina dada wengi, si wote linapokuja suala la kutaka mapenzii basi mwanaume ndio huwa mwanzilishi lakini mchakato unaposhika kasi huyu mdau huwa kinara kwa mbwembwe, miguno na maneno kedekede. Niliwahi kumwambia mmoja kuwa siku moja ajaribu kuanzisha hoja yeye akadai kuwa wanawake ni watu wa aibu....aibuu??? mchana mwema!:lol::lol: