Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

Kutongoza ni kujidhalilisha unakuwa low value man ni kitendo cha kujishusha thamani kwa mwanamke ni usimp

Chase your goals. If you do that, women will chase you

Learn the game
Yaan kiufupi ukitengeneza maisha yako namna unavotaka Kuna wasichana watakupenda ulivyo na wataona namna unavojiamin haangaiki na madem watakupenda na watakupa papuchi free
 
Acha uboya tengeneza makololi yako hata matatu3 yanatosha ambayo una uhakika simu moj tu una uhakika wa kula msigo
 
Kutongoza tongoza ni ishara ya umasikini

Kuna level fulani ya mafanikio ukifika hauhitaji kutongoza

Panda bustani yako iboreshe vipepeo watajileta wenyewe. Elewa neno bustani na vipepeo

Women are attracted to men lifestyle
Hakuna kitu kinaitwa bustani munajipa moyo hata uwe na pesa unajaza jaba bado hio Route juu inakuhusu tu mwanaume. Hakuna wanawake watakufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…