one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Watanzania tubadilike, Jana ktk pitapita zangu kitaa nikakutana na wana (washkaji) na kuanza piga stori za hapa na pale kumalizia weekend.Katikati ya maongezi mara gafla ikapita gari moja ndogo aina ya IST black (baby walker😵)..ikiwa na music systeam nzuri kutufanya kuwa na tension ya kusikiliza wimbo ulio kuwa unaimbwa ndani ya gari hilo..ulikuwa ni wimbo wa Diamond Platnumz uitwao ENEKA..
Mara mdau mmoja akanza kutikisa kichwa huku akisimama na kuanza kuuwimba..na baadhi ya maneno kuyatamka "huu wimbo hata fall ya Davido umekaa", hapo ni kama kusema mdau aliliamsha DUDE palitokea teams za ajabu ajabu...mara ooh MOnd mweupe tuu...sijui hata uwezo gani alionao mpaka kumshindanisha na Kiba..Mwingine akaropoka yan mashabiki wa ally kiba ni wehu kama mashabiki wa SIMBA....Moto ukawaka zaidi hapo..na mdau mmoja akijisemea "MOND KAMA RONALDO" uwezo wake hadi Lionel MESSI haoni ndani....kila mtu akisema anacho kiona sahihi kwake...mabishano yalidumu kwa mda mrefu sana...
Huku mijadala ikiendelea...alpita dada mmoja mrefu na mweupe kidogo..huku akiwa na mvuto sana kiasi cha kufanya kila mmoja akimwangalia na mabishano yakipungua na kuwa sauti ya chini.....alitembea vizuri huku akiwa amevaa miwani nyeusi...jeans nyeusi na shati la kijan lenye nembo ya ccm...🙂 hapo sasa ni kama siku ndo ilikuwa inaanza....ilibidi nipaze sauti kidogo na kuwaambia tupunguze mihemko...na ushabiki uwe ni wa kujenga na si kubomoa.....Mara mmoja akaropoka kwani we unapenda chama gani? nitarudi badae