Charity inaanzia nyumbani kwako kwa kutumia lasilimali zako mwenyewe,na siyo kwa kutumia lasilimali za kutoka nje na nyumbani kwako,huko ni kuwadhulumu wasiyo kuwa na nafasi ya kuweza kuchukua lasilimali kutoka nje na kupeleka nyumbani kwao wakati ndiowatoaji wakile unachokichukua na kukipeleka kuendeleza kwenu.Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
historia hujirudiaMobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Hata akija mtawala wa CCM baada yake, bado Chato kama ilivyo hii ya Seseseko! Mpaka sasa sijaona faida yoyote ya kiuchumi kwa huu mradi.Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anafahamu nini kitatokea kule baada ya JIWE kutoka madarakani...
Itakuwa sio mbaya maana patakuwa ni mahali pa kwenda kufanya shughuli za kitaliiUnataka kutuambia kuwa Chato itakuja kuwa hivyo?
Astafulilahi wallai!
Hata kijiji cha Mobutu kip KongoCharity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Charity begins at home! Uzuri ni kuwa chato ipo Tanzania! Kama malalamiko yanayoelekezwa kwa Mkuu yanalenga kutuaminisha kuwa Chato hapana hadhi katika Tanzania, ama basi yaliyofanywa huko yalipaswa kufanyika kaskazini tu itakuwa ni kumuonea mkuu.
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao na kuwa jiji yani jiji la Gbadolite
Mobutu baada ya kufurumushwa madarakani kijiji kimebaki gofu malisho ya mbuzi na ng'ombe
Ikulu imabaki magofu na makazi ya popo
Uwanja wa ndege umebaki kutua ndege john na wengine walio umbwa na Mungu
Mobutu alikula sana hela za Nchi ya Zaire kujitajirisha na kujenga kwao
Leo hii kwao kumebaki magofu
Magufuli soma historia.
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Gbadolite
IkuluView attachment 1147267View attachment 1147269View attachment 1147270View attachment 1147271View attachment 1147272
Ukifa na kukosa heshima ni adhabu tosha sana. Mobutu alivuna alichopanda!Mungu akiamua kumuadhibu mtu huwa anamuaibisha sana, aisee
hata rais ajaye akiwa kabudi ?Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anafahamu nini kitatokea kule baada ya JIWE kutoka madarakani...