Hapa ni kupoteza Ada

kama ni zito,atapamba magazeti 2015,ata kama siye kufanana tu ishakua nongwa!
 
Whats wrong with that?
Huyo ni msanii Ismail wa bendi ya Mrisho Mpoto walikuwa kwenye tamasha la kuelimisha mchana kweupee na wanafunzi wakawa wanaitwa kucheza nao thats all.
Siamini kama hii ni karne ya ishirini na moja hadi leo eti kuona dent anacheza mziki nayo ni laana
 
Kwa hiyo tusije kushangaa vile vile pale tutakapoona mwanafunzi wa kiume naye akicheza show na hawa wanaojiita Kanga moja mbendembende laki si pesa!!??
 

You have a point DC !
 

U might be right babu DC. mimi huwa sipo against wanafunzi wanaopenda kucheza, so long as wanafanya vizuri kwa darasa. na sidhani kama Rev yupo against that, tatizo hapa ni jinsi ambavyo huyo binti anacheza
 
Unapomponda mtoto/ndugu wa mwenzako hujui wa kwako anafanya yapi usiyoyajua.......siku hizi watoto wengi wako hatarini, hata wa kwenu hawako salama!muache kumnyooshea huyu dogo vidole....

Kumchooshea kidole ni lazima hata kama zijui wa kwangu anafanya nini.
 

Kumbe na wewe ndo walewale mnaotuharibia mabinti zetu
 
Unampeleka THT,Bagamoyo au unamshauri asome fine and performing arts
 
Huyu msichana yoko mkoa gan na mtaa gan anaonekana mzoefu!!
 
Kama walimu wenyewe bomu unategemea wanafunzi watakuwaje?
 
Loh. . .
Is that Mh Zitto?

Wazazi wenye mabinti mbona wana kazi.

Kama ni Zitto basi kutochuchukua posho kutakuwa kumemfanya akonde ghafla.
 
Binti mdogo ameshajua pa kushika kwenye kiuno cha dume. Mmmmmmmmmmmmmmm
 
Usikute hata simu anayo bila wazazi kujua kwamba analo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…