Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tusije kushangaa vile vile pale tutakapoona mwanafunzi wa kiume naye akicheza show na hawa wanaojiita Kanga moja mbendembende laki si pesa!!??Whats wrong with that?
Huyo ni msanii Ismail wa bendi ya Mrisho Mpoto walikuwa kwenye tamasha la kuelimisha mchana kweupee na wanafunzi wakawa wanaitwa kucheza nao thats all.
Siamini kama hii ni karne ya ishirini na moja hadi leo eti kuona dent anacheza mziki nayo ni laana
Ila ReV umesahau kitu,
Kuna wadada ambao walikuwa ni wachezaji ngoma na muziki wazuri sana enzi zetu za shule. Mtu ungedhani ni mcharuko wa kutupa...Sasa hivi wengine wameshapata PhD na wale waliojifanya watawa wanalea wajukuu tena kutoka kwa multiple fathers!
I would want to give her a benefit of doubt, at least for now!!
Babu DC!

Unapomponda mtoto/ndugu wa mwenzako hujui wa kwako anafanya yapi usiyoyajua.......siku hizi watoto wengi wako hatarini, hata wa kwenu hawako salama!muache kumnyooshea huyu dogo vidole....
Whats wrong with that?
Huyo ni msanii Ismail wa bendi ya Mrisho Mpoto walikuwa kwenye tamasha la kuelimisha mchana kweupee na wanafunzi wakawa wanaitwa kucheza nao thats all.
Siamini kama hii ni karne ya ishirini na moja hadi leo eti kuona dent anacheza mziki nayo ni laana
Huyu msichana yoko mkoa gan na mtaa gan anaonekana mzoefu!!
Huyu binti sio anasoma MAlecela Secondary
Loh. . .
Is that Mh Zitto?
Wazazi wenye mabinti mbona wana kazi.