moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Safi mkuu umehesabikaCOUNT ME ON
Mods wameufuta uzi wangu kuhusu wale matapeli.Habari wakuu..
Kwa wale watakaoshiriki party ila wakiwa na pesa mkononi tufahamiane hapa ili tujue idadi siku ikifika tutakapoenda eneo la tukio pale pale tukusanye mchango wetu na sisi tule huyo bata kama waliotuma mapema kwenye namba flani..
Hili suala tutalifanikisha mkuuCount me in !!!
Ngoja tuchunguze ,ikibainika ni mods ndo wenye hizo ID's mkuu melo atawafutilia mbaliMods wameufuta uzi wangu kuhusu wale matapeli.
Zichange pesa mkuu tukifika tutawaonesha showRemind me to pay in November,otherwise i will be there !!!!!
Nadhani unafahamu suala la kuamini? Na je umesoma kichwa cha mada kweli?Kwanini sasa usilipe mapema ili bajeti ikapangwa??
Hakuna njia nyingine ya kudhibiti matapeli zaidi ya hii labda kama anatumbulikaAt least wazo hili
Shusha pumzi, ondoa jazba kisha nijibu kwa utulivu swali langu.Nadhani unafahamu suala la kuamini? Na je umesoma kichwa cha mada kweli?
Maswali yako ntayajibu vizuri sana ila umesoma kichwa cha mada? Na kinasemaje? Ukinijibu ndipo na Mimi nakujibuShusha pumzi, ondoa jazba kisha nijibu kwa utulivu swali langu.
Umeuliza swali zuri sana, mfumo uko ivi party ya kwenye mitandao haswa yenye fake ID's hakuna anamuamini mwenzie kwahiyo inabidi tukusanye pesa kwenye vibubu vyetu halafu tutaonana siku yenyeweMmh! Kwani huwa Party maana yake nini na inahusisha nini humo ndani? Na je inawezekana kulipia mlangoni kama uzi usemavyo?
Maana sielewi elewi Hajar mie na kukaa huku Namnyamba basi nimezidi kuwa nyuma.
Nielewesheni jamaani? ππππ
Nitabeba na yakwako..At least wazo hili