Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

Hapa ni kwaajili ya member watakaofika kwenye party wakiwa na pesa mkononi

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
4,151
Reaction score
2,979
Habari wakuu..

Kwa wale watakaoshiriki party ila wakiwa na pesa mkononi tufahamiane hapa ili tujue idadi siku ikifika tutakapoenda eneo la tukio pale pale tukusanye mchango wetu na sisi tule huyo bata kama waliotuma mapema kwenye namba flani..
 
Mmh! Kwani huwa Party maana yake nini na inahusisha nini humo ndani? Na je inawezekana kulipia mlangoni kama uzi usemavyo?

Maana sielewi elewi Hajar mie na kukaa huku Namnyamba basi nimezidi kuwa nyuma.

Nielewesheni jamaani? 😂😂😂😂
Umeuliza swali zuri sana, mfumo uko ivi party ya kwenye mitandao haswa yenye fake ID's hakuna anamuamini mwenzie kwahiyo inabidi tukusanye pesa kwenye vibubu vyetu halafu tutaonana siku yenyewe
 
Back
Top Bottom