Hapa ni possible au impossible?

Hizi tozo zimefanya uwezo wangu wa kufikiri umekuwa mdogo ona sasa navohangaika na hichi kimeza tu.
 
ile minyororo ya katikati ndio inayoshikilia ubao wa juu usiende chini halafu hii ya pembeni inasaidia meza isiegemee upande mmoja, labda nimekufungua mawazo kidogo.
 
Lakini ilibidi afanye kitu ilikuzuia meza isicheze cheze kama bembea.
 
ile minyororo ya katikati ndio inayoshikilia ubao wa juu usiende chini halafu hii ya pembeni inasaidia meza isiegemee upande mmoja, labda nimekufungua mawazo kidogo.
Sio kuegemea upande mmoja tu,bali itaanguka kabisa
 
Possible,japo meza itakuwa ni ya kuyumbayumba hivi.
 
Possible, sijui balance kama iko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…