Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Kwangu mimi ni possible 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi bishoo hawezi elewaSihaeLewa
very possible more than 100%Kwangu mimi ni possible 100%View attachment 2342449
ile minyororo ya katikati ndio inayoshikilia ubao wa juu usiende chini halafu hii ya pembeni inasaidia meza isiegemee upande mmoja, labda nimekufungua mawazo kidogo.Hizi tozo zimefanya uwezo wangu wa kufikiri umekuwa mdogo ona sasa navohangaika na hichi kimeza tu.
Tozo zimekupumbaza🤣Hizi tozo zimefanya uwezo wangu wa kufikiri umekuwa mdogo ona sasa navohangaika na hichi kimeza tu.
Simple mbona hapoKwangu mimi ni possible 100%View attachment 2342449
Lakini ilibidi afanye kitu ilikuzuia meza isicheze cheze kama bembea.ile minyororo ya katikati ndio inayoshikilia ubao wa juu usiende chini halafu hii ya pembeni inasaidia meza isiegemee upande mmoja, labda nimekufungua mawazo kidogo.
Sio kuegemea upande mmoja tu,bali itaanguka kabisaile minyororo ya katikati ndio inayoshikilia ubao wa juu usiende chini halafu hii ya pembeni inasaidia meza isiegemee upande mmoja, labda nimekufungua mawazo kidogo.