Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,709 Reaction score 10,896 Apr 20, 2026 #1 Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,985 Reaction score 21,212 Apr 20, 2026 #2 inabidi ufanye kazi za namna gani hapo Kuwait ili upate pesa yenye thamani ya hiyo uliyoshika?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Apr 20, 2026 #3 Haya nenda ukachenji ule maisha