Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Tutategua tu
Wee kisia achana na googlenimetafuta source ya hiyo picha, ni kijiji cha Sagara B, Dodoma
View attachment 2788662A Remote Tanzanian Village Logs Onto the Internet
The Danish company Bluetown installed a hot spot in Sagara B, with download speeds fast enough for Netflix and for local life to change.www.wired.com
Ngoja nikachukue kipimo changu
Hapana Mkuu, Mufindi hamna lamiMufindi, Iringa
Source yakoHapa sio bongo π€£
Hii south america
Hii itakuwa BagamoyoNa hapa ni wapi..?View attachment 2788680
Angalia singida...View attachment 2788674
Dodoma ni nusu jangwa
Subiri wenye nako wanakuja, kwa jinsi ninavyofahamu, watakuambia umewadhalilisha hawajui kabisa kama ndivyo kwao kulivyoNa hapa ni wapi..?View attachment 2788680
Kosa.. jaribu tenaHii itakuwa Bagamoyo
Ahahahhahq daaahSubiri wenye nako wanakuja, kwa jinsi ninavyofahamu, watakuambia umewadhalilisha hawajui kabisa kama ndivyo kwao kulivyo
kilwa kivinjeNa hapa ni wapi..?View attachment 2788680
Dodoma hiyo...Inaonekana jua linapiga sana pande hizo.
Uache ku google..ππππππππππππππππkilwa kivinje
Umepata kilwa kivinje...Kilwa