Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Napajua,,, Tanzania nzima misitu iliyonyooka hivyo ni Sao hill Mafinga,nadhani ni matokea na juhudi la mashirika ya Danish chini ya miradi Yao ya hifadhi mazingira...Hapana HAPANA mkuu...
Naona umekua specific kabisa.
Unapajua illigal sio πππ