Umeshawahi kufika kilwa kivinje maana umeenda direct...ππ
Sawa sawa...Sasa ni Mzee mimi.,,na sitafuti maksi,am doing it for funπ€£π€£
Hapa ni Mbagala alipopaimba Diamond,nimeangalia matofali ya block yanatumika sana Dar es salaam,viinuko ,na mkoa wanaotupa uchafu hovyo ni Dar especially Mbagala...
Daaah umepatia kabisa pale ni kilwa kivinje..Nimefanya kuotea maana Kilwa na Mafia ndio kuna magofu mengi ya kiarabu yaliyoachwa bila kujengwa upya...
Sababu nimefika Bagamoyo mara nyingi kiasi cha kukariri majengo yake ya namna hiyo, Lindi nimefika mara kadhaa sijawahi ona jengo kama hilo...Zenji wao wamekarabati majengo mengi ya kale kama ilivyo kwa Dar...
Na hapa je View attachment 2788683
Aaaaaah ...ππππ uki zoom hii picha kwa 500x300 pixel utaona uwanja wa taifaHahah itakuwa usawa wa Kenya kwenda Ethiopia...enroute Doha
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nimepatia?nimefurahi sana...... maana nimelizooom Hilo dampo kichwani kakaimba kawimbo ka Mondi....safi sana....Chalamila asimamie vizuri Jiji lake sasaJoannah
""""Hapa ni Mbagala alipopaimba Diamond,nimeangalia matofali ya block yanatumika sana Dar es salaam,viinuko ,na mkoa wanaotupa uchafu hovyo ni Dar especially Mbagala"""
Exactly kabisa umepatia πππππ
Ila sasa hiyo kauli ya
"""mkoa wanaotupa uchafu hovyo ni Dar especially Mbagala"""
Nakubali mkoa wanaotupa mauchafu hovyo ni Dar ila sasa umewekaa na specifications kabisa khaaa ππππππππ ety mbagalaπππππππππ
ππππππ ilaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Nimepatia?nimefurahi sana...... maana nimelizooom Hilo dampo kichwani kakaimba kawimbo ka Mondi....safi sana....Chalamila asimamie vizuri Jiji lake sasa
Aaaaaah ...ππππ uki zoom hii picha kwa 500x300 pixel utaona uwanja wa taifa
πππππππ ikiwa altitude ya juu nahisi mambo yanakua ruksa movement ka zote..Hahah hiyo ni altitude ya juu sana, pipa ishakamata lami yake hapo na watu washafungua mikanda...
πππππππ ikiwa altitude ya juu nahisi mambo yanakua ruksa movement ka zote..
Hapo ni kuzoom tu. Tafuta electronic microscope πππ
Nenda tangaMkuu kama bado hujapajua, nipe mji....
Tupe jibu sasaHuko ndio ndoto zangu, naenda chap chap π€£
Una ndoto kwenda tanga hahahahahHuko ndio ndoto zangu, naenda chap chap π€£
Mkuu usije ukapotea huko...Warembo wa huko ndio walioanzisha kuogesha mtu mzima kwenye beseni π€£