Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Umeshawahi kufika kilwa kivinje maana umeenda direct...ππ
Nimefanya kuotea maana Kilwa na Mafia ndio kuna magofu mengi ya kiarabu yaliyoachwa bila kujengwa upya...
Sababu nimefika Bagamoyo mara nyingi kiasi cha kukariri majengo yake ya namna hiyo, Lindi nimefika mara kadhaa sijawahi ona jengo kama hilo...Zenji wao wamekarabati majengo mengi ya kale kama ilivyo kwa Dar...