babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mafinga hii,hapo dere huwa analala kabisa gari iko kibati mkeka huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafinga hii,hapo dere huwa analala kabisa gari iko kibati mkeka huo
Dom -njia ya mtera zamani kiangazi utakuta hivyo.
Njombe karibu na HQ ya Tanwat njiapanda ya LupembeHii kama sio Mafinga basi ni Nyororo...
✔️Hii kama Sao Hill...
Hili eneo limefanana na maeno fulani Mississippi (Roosevelt State Park) ukiwa unapita I-20...
✔️Near Sao hill mufindi
si tandahimba ntwara hapa bwana wewe
Daah ila Dar bado kutupa uchafu ni problem😂😂😂😂😂😂 ila
Hayo mambo ya especially Mbagala sio poa...
Sa hivi mbagala ipo saaafiiii hiyo picha ya mda kidogo nahisi 🙌🙌🙌😂😂😂😂
Afrika Kusini. Ndiyo wanapenda sana hizo Nissan NP200 bakkies.Hapa je..?
View attachment 2788699
Njombe to makambako
Gari zimegeuka kambale duh 🔥🔥🔥🔥Hapa je..?
View attachment 2788699
Ni kama kweli vile!Ni kama Dodoma njia za Mpwapwa