Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

Huyu mkaka mbona ananichezea akili. Leo kaniita nikaenda kwake kwa madai ya kunimiss. Kuna kazi nilimkuta anafanya kwenye PC ila baadae alichomoka nje mara moja Ile PC ikadisplay WhatsApp.

Mimi ni mbea nikataka kujua tupo wangapi nikachokonoa chats nikakuta ananicheat na Florina.

Baadae aliporudi akaniuliza mbona mnyonge nikavunga hakujua nimechokonoa. Akaanza kuniambia ananipenda mimi tu na sio mwingine na mimi nimemteka moyo wake.

Muda hanipi anapewa Florina, kubembelezwa yeye, simu kama zote kupigiwa yeye, tena anamuita mke.

Nipasue hii PC au niondoke nayo nikauze?

Samahani kwa mliochelewa hii post nliweka evidence ila nmefuta🙏
Mpe hela, mlipie bill zake yaani kwa kifupi muhudumie, hatokusaliti kamwe.
 
wewe ulienda kwake ili UCHOKONOLEWE papuchi vyema, imekuaje tena ukachokonoa visivyokuhusu!
 
Back
Top Bottom