Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hahaaaa ilmu Haina mwisho. Endelea kutafuta maarifa mkuuSheikh wa wapi huyu 😄🤣😂
Mie maisha yangu yoote sijasoma kitu kama hiki
Haha 😄🤣,Hahaaaa ilmu Haina mwisho. Endelea kutafuta maarifa mkuu
Na aliyoileta nje ya msikiti ameiedit makusudi Ili kuleta taharukiHaha 😄🤣,
Hapa sio kutafuta elimu, hapa hiyo clip ingeenda mpaka mwisho atoe sababu zake ili na sisi tupate kukubali ama kupinga kwa hoja
Mhhh! Angetoa angalau aya moja kuthibitisha hoja yake. Ila ukweli ni kwamba, Ukishaingia motoni ndiyo imetoka hiyo. Sidhani kama kuna kuchomoka tena.Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa?
Je parleChizi Maarifa ww jamaa sijui utaacha lini usenge
Kuna vingi huvijuiSheikh wa wapi huyu 😄🤣😂
Mie maisha yangu yoote sijasoma kitu kama hiki
Weka Video yote hapa...hiyo clip lazima ikuache bila majibu.Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa?
Ni sahihi, siwezi jua yote, ila katika hili nakataa, leteni video nzima inayoonesha dalili ya hicho akisemacho.. ili tuone yeye kasema hivyo kwa ushahidi gani wa maandishi ya kidini..Kuna vingi huvijui
Ndio maana imekatwaNa aliyoileta nje ya msikiti ameiedit makusudi Ili kuleta taharuki
Hiyo video aliyenitumia ni ustaadhi sidhani kama ame edit au anafahamu ku edit. Isikilize tena na tena.Ndio maana imekatwa
Ndio maana imekatwa
Na aliyoileta nje ya msikiti ameiedit makusudi Ili kuleta taharuki
Sheikh wa wapi huyu 😄🤣😂
Mie maisha yangu yoote sijasoma kitu kama hiki
Hahaaaa ilmu Haina mwisho. Endelea kutafuta maarifa mkuu