Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Unataka akutamkie kabisa kuna mshkaji anammega kisera kausha tu mkuu mbona kumegewa kawaida watu wanamegewa wake zao we demu tu unapresha hivyo we komaa na kitabu
unampa pesa za kutosha
mkuu kwani wwe moyo wako unakushuhudia nini
Mkuu hakuna mapenzi magumu na ya kuepuka demu kutoliwa kama mnasoma vyuo tofauti.mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa morogoro nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu moshi (mweka) ,lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga had saa 7, sms nkituma hajbu nisilista anitafuti lakini nampenda sana, naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Kama Una mipango mirefu achana nae kaka! Ila Kama ndio unataka utamu wa k basi toa mihelaaaadaa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
ooooooh mfuate ukaongee naekiukweli nampenda sana
Fanya yako,ushaachika. Angalie ucjiue lakini.
Muoe sskiukweli nampenda sana