Hapa ntakuwa nimeepa ngoma? nimechanganyikiwa kabisa

Nmeingia dhambi ya bure...tumepima....mtoto wa watu hana ngoma wala UTI yupo fresh kabisa... Sasa nina amani
Acha uoga wa kifala, ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.
Sawa..Kapime homa ya ini[emoji2]
We jamaa akili yako kama ya Jaco Zuma tu
Sichacheka toka mchana leo... Asante kwa chai, chapti na maharage
Acha woga ..aliambia watu yeye ana ngoma ili kupunguza foleni ya watombaji ..we cha kufanya endelea kula mzigo
Hapo Mirembe hospital dawa zimeisha?
hapo utakuwa umeepa UTI tu, ila ngoma ni ndani ya damu labda utoe damu yote afu tuweke ingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mzee kesho mcheki mkapime kama hayupo vzr ongea na doctor atakupa dawa ya kuondoa wadudu kabla ya masaa 72 kupita.
Haah hah apo kuosha ub0** ungepaka pilipli ya mwendo kas wangewashwa wote wadudu wangekimbia na ungekuwa salama mi ndio nafanyagaa
Baharia gani muoga hivo wewe... watu tushasahau habari za hiyo kitu..
Hepatatis B kwa bongo is overated..hospitali tu zinataka kuuza vaccine

Though ni kitu poa kupata chanjo
Usisahau maji glass 1
Baharia umeamua kubariki uzinzi kabisa kabisa ilimradi usife pekeyako tu kwa ukimwi [emoji851]
Bangi bangi bangi...nimemaliza.
Wanaume wa dar hawana Siri kabsa
😂😂😂😂Dadeeeeki, you never escape!
Siyo Kwamba unajarib kujipa ma hope peke yako tu.[emoji16]

Hapo mzee kesho mcheki mkapime kama hayupo vzr ongea na doctor atakupa dawa ya kuondoa wadudu kabla ya masaa 72 kupita.
 
hayo masikhara hata tududu milioni moja tukifanyiwa ukatili tusiingie kuna kamoja kabishi lazima kaingie.Tahadhari virusi sio wajinga
 
Kwel wewe sio mzoefu yaan one night stand moja tu unakuja kusimuliaaa na mawazo kibao
 
Huyu demu tunafanya naye kazi ni muda huwa namwona ananitega tega. Leo nmempa lift tumetoka job akasema tupigie sehemu ale kabisa maana anaishi peke yake.

Nikaona haina noma...nikampitisha kala mishkaki akaagiza na savannah akanywa nne.nikamwona amebadilika anazungusha zungusha macho kama saa mbovu.namimi zimekolea kidogo.basi tumetoka ili nimpeleke kwake.

Nmemsindikiza mpaka ndani akaomba nimfikishe chumbani...huko tumeshindwa kuelewana tukaishia kugegedana tu.kama mafala hata hatujatumia kinga.nimemaliza ndo akili zimerudi. Haraka nikakimbia kinyama kuelekea washroom kwenda osha ubooh.

Pia nikakojoa kama vijidudu vilianza kuingia kupitia kwenye bomba la ubooh nivirudishe nje.nmekojoa kwa nguvu sana kusukuma virus nje.

Kisha nmeosha ubooh na maji ya sabuni haraka sana. Hapo sasa angalau ndo nmekuwa na amani.nadhani nimeweza kuepa mtego wa kupata ngoma.

Daaah....nlikuwa na wasiwas kinyama maana huyu dada wengine wanadai ashawahi kuwaambia yeye ni mwathirika.mimi nmemwuliza kakataa kata kata na kasema kesho tu tukapime.ila sina imani naye sana.

Hapo wadau nadhani nanyi mmepata namna ya kuepa ngoma.pia ni kujitahidi demu aloane kinoma....awe na utelezi mwingi shinani....ndo nlifanikiwa hivyo sijamchubua...
virus vya UKIMWI ukavitoa Kwa mkojo au?
 
Paragraph no 4 imeniacha hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua mme wa mtu si bure
 
Huyu demu tunafanya naye kazi ni muda huwa namwona ananitega tega. Leo nmempa lift tumetoka job akasema tupigie sehemu ale kabisa maana anaishi peke yake.

Nikaona haina noma...nikampitisha kala mishkaki akaagiza na savannah akanywa nne.nikamwona amebadilika anazungusha zungusha macho kama saa mbovu.namimi zimekolea kidogo.basi tumetoka ili nimpeleke kwake.

Nmemsindikiza mpaka ndani akaomba nimfikishe chumbani...huko tumeshindwa kuelewana tukaishia kugegedana tu.kama mafala hata hatujatumia kinga.nimemaliza ndo akili zimerudi. Haraka nikakimbia kinyama kuelekea washroom kwenda osha ubooh.

Pia nikakojoa kama vijidudu vilianza kuingia kupitia kwenye bomba la ubooh nivirudishe nje.nmekojoa kwa nguvu sana kusukuma virus nje.

Kisha nmeosha ubooh na maji ya sabuni haraka sana. Hapo sasa angalau ndo nmekuwa na amani.nadhani nimeweza kuepa mtego wa kupata ngoma.

Daaah....nlikuwa na wasiwas kinyama maana huyu dada wengine wanadai ashawahi kuwaambia yeye ni mwathirika.mimi nmemwuliza kakataa kata kata na kasema kesho tu tukapime.ila sina imani naye sana.

Hapo wadau nadhani nanyi mmepata namna ya kuepa ngoma.pia ni kujitahidi demu aloane kinoma....awe na utelezi mwingi shinani....ndo nlifanikiwa hivyo sijamchubua...
Mambo ya Jacob Zuma, ukimwi unaepukwa kwa kuoga!
 
Inamaana virusi vimekua vikubwa kwa sasa na kuonekana km mbu??airbus sidhani km itatoka haraka
 
Back
Top Bottom