Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #21
Nmeingia dhambi ya bure...tumepima....mtoto wa watu hana ngoma wala UTI yupo fresh kabisa... Sasa nina amani
Acha uoga wa kifala, ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.
Sawa..Kapime homa ya ini[emoji2]
We jamaa akili yako kama ya Jaco Zuma tu
Sichacheka toka mchana leo... Asante kwa chai, chapti na maharage
Acha woga ..aliambia watu yeye ana ngoma ili kupunguza foleni ya watombaji ..we cha kufanya endelea kula mzigo
Hapo Mirembe hospital dawa zimeisha?
hapo utakuwa umeepa UTI tu, ila ngoma ni ndani ya damu labda utoe damu yote afu tuweke ingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mzee kesho mcheki mkapime kama hayupo vzr ongea na doctor atakupa dawa ya kuondoa wadudu kabla ya masaa 72 kupita.
Haah hah apo kuosha ub0** ungepaka pilipli ya mwendo kas wangewashwa wote wadudu wangekimbia na ungekuwa salama mi ndio nafanyagaa
Baharia gani muoga hivo wewe... watu tushasahau habari za hiyo kitu..
Hepatatis B kwa bongo is overated..hospitali tu zinataka kuuza vaccine
Though ni kitu poa kupata chanjo
Usisahau maji glass 1
Baharia umeamua kubariki uzinzi kabisa kabisa ilimradi usife pekeyako tu kwa ukimwi [emoji851]
Bangi bangi bangi...nimemaliza.
Wanaume wa dar hawana Siri kabsa
😂😂😂😂Dadeeeeki, you never escape!
Siyo Kwamba unajarib kujipa ma hope peke yako tu.[emoji16]
aisee
Hapo mzee kesho mcheki mkapime kama hayupo vzr ongea na doctor atakupa dawa ya kuondoa wadudu kabla ya masaa 72 kupita.