Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
ππππAnapingana na alichokiandika.
Kajikataa πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππAnapingana na alichokiandika.
Mkuu tania lingine sio talaka itakunyemelea tu ni suala la mda achana utani katika divorce in a blink of an eye mambo yana badilika tena......unalia na hilo bandiko lako linakua relevant kabisa
Msondo ngoma hapa moshi, ngurumo pale momba, masharubu na pembeni mabela na romarii.
Nimekua sina raha apa nyumbani kila Siku maneno yako mama hayaishi mama, nimekua sina amani apa nyumbani kila Siku maneno yako mama hayaishi mama.
Nakupa talaka kwa shingo upande.
MuhengaDaahhhh...mtu mzima mwenzangu mwenye akili zake....ππππππππππππππ€©π€©π€©π€©
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona mlivurugana na mumeo ukaamua kuzuga baada ya akili kukurudia kuwa talaka sio jibu..Mashankupe, wanafik nafik na wambea wanadhani status ya mtu ndo maisha anayoishi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona mlivurugana na mumeo ukaamua kuzuga baada ya akili kukurudia kuwa talaka sio jibu..
HAKUNA MTU ANAEWEKA STATUS ILI MRADI TU LABDA KIWE KICHEKESHO TENA HASA WANAWAKE...
Pengine wewe uko katika hali ya maigizo na kurusha watu roho. Kuna wanawake wanapitia wakati mgumu katika ndoa, haijalishi usomi wao. Hivyo rafiki na ndugu walitegemea ndicho unachopitia.Binadamu si wa kuwaamini hata. Yaani mtu mwingine ni rafiki lakini kumbe hakutakii mema. Nliusikia huo wimbo wa Bend moja hapa nchini. Wanaimba wanasema hapa piga ua talaka yangu utatoa, ama sivyo ee bwana we nitakuonesha..
Nikaandika kwenye status yangu HAPA PIGA UA TALAKA YANGU UTATOA. Chini kabisa nikaandika jina la Band.
Watu hawakuona jina wameona tu hayo maneno. Walianza kububujika whatsapp wakiniambia tena mume wangu wala asinizingue kama akinipga tena nikamshtaki.
Wengi wamenipa pole na wakaka kutaka nitoke nao ili kupoteza mawazo. Nikawa nashangaa...marafiki zangu wananambia heri niwe huru wanaume wapo wengi.
Waswahili ni wanafiki sana tena wambea.wanawake kwa wanaume.yaani wanaamini mtu msomi anaweza weka maisha yake kwenye mitandao? sikuwajibu kitu. After 24 hrs nmeweka picha nipo na mume wangu wamenyamaza mpaka muda huu kimya.
Nyie jamani sisi binadamu hatupendani kabisa.yaani tunashawishiana kwenye mabaya utadhani sijui nini.khaaaah...mi nmewashindwa kabisa. Wao walishaamini maneno ya huo wimbo ndo maisha yangu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivi mdogo wangu kwa nini una miakili mingi hivi"Mtu msomi haweki maisha yake kwenye mitandao"
After 24hrs umeweka picha ukiwa na mume wako...teh!
Itakuwa mume sio sehemu ya maisha yako
Sio kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona mlivurugana na mumeo ukaamua kuzuga baada ya akili kukurudia kuwa talaka sio jibu..
HAKUNA MTU ANAEWEKA STATUS ILI MRADI TU LABDA KIWE KICHEKESHO TENA HASA WANAWAKE...
Njoo nkutulzee mtoto mzuriiShoshti mbona umepaniki sana....kulikoni?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivi mdogo wangu kwa nini una miakili mingi hivi
cha msingi angalia contacts zako wewe..sio messages zako....una namba za fundi bomba mama muuza vitumbua muuza mihogo mangi boda boda unategeema uki post something wa react vipi..levels mamaa....au uwe na namba mbili moja official moja social...Binadamu si wa kuwaamini hata. Yaani mtu mwingine ni rafiki lakini kumbe hakutakii mema. Nliusikia huo wimbo wa Bend moja hapa nchini. Wanaimba wanasema hapa piga ua talaka yangu utatoa, ama sivyo ee bwana we nitakuonesha..