Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi.
Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi la msingi tu asiwe bored huko aliko.
Nikamwambia jumamosi ntamwambia aje wapi tuanzie hapo na tujue tunamaliza vipi.
Nlienda Hotel moja Mwenge ili tukubaliane kama nichukue room au vipi.maana unaweza chukua room kumbe mwenzio yupo mwezini.ni sehemu yenye utulivu mzuri kwa sisi ambao umri umeenda.
Nikamwambia achukue Uber namwagizia hapo around ntakuja lipa ndivyo ambavyo mimi humfanyia.akakataa.akasema atachelewa kusubiri atachukua tu bajaji.
Kachukua bajaji kafika kwangu namwuliza tsh ngapi anasema tsh 20,000. Kweli jamani kutoka hapo chuo cha ardhi mpaka mwenge kwa Bajaj ni tsh 20,000? Si sawa. Ukichukulia dada mwenyewe ni mjanja kakulia Kijitonyama hawawezi mcharge umbali huo kwa 20,000.
Nlimuuliza tena akasema ni tsh 20,000 tena kamshusha ilikuwa iwe 25,000. Nlimpa hiyo pesa but alishanitibua kwa kweli. Niliwaza huyu dada si mwaminifu au basi hana uchungu na pesa yangu.
Nlikuwa nawaza kuchukua naye chumba nikaahirisha maana nliona pengine nadate Mdangaji. Tumeagiza chakula na vinywaji but mimi kimwili nilikuwa naye kiroho sikuwa naye kabisa.
Baadaye nimkampa 20,000 ya nauli nikamwambia tu nmepata dharura.nikalipia kila kitu.nikaondoka. njiani nika delete na namba yake. Jioni na usiku alinitafuta sana. Sikutaka tena ukaribu.
Leo amenipigia tena anasema anaomba tuonane tuongee. Kiukweli nmekuwa mzito sababu nmeona alinichukulia mimi fala sana au bwege. Kitu ambacho kimeniumiza sana. Sometimes tunatamani kuwa gentlemen but kuna wanawake wanaturudisha kwenye uhuni.
Ni vyema ukipata mtu anaku treat vizuri nawe um treat vizuri mheshimiane.