Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo.
Screenshot_2024-03-14-11-26-43-638_com.twitter.android.jpg
 
Hersi na yule mkaa tako moja walivaa jezi za Kaizer Chiefs na Orlando pirates. Hersi alienda mbali zaidi akawapigia video calls wachezaji wa berkane baada ya kuwafunga Simba.
Huo uzalendo umeanza leo? Kama ni kosa kisheria waanze na hao kwanza
 
Hawa ndio viongozi wetu na akili zao ndio zilipoishia,badala wapambanie sukari na madawati wamekuja kwenye michezo kupiga mikwara.
Waziri wa michezo na madawati wapi na wapi mbona akili yako fupi sana? Halaf hy michezo mbona inaleta mapato makubwa ya kuwezesha kutengenezesha hayo madawati? Unashindwa hata kufikiri kwa mbali yaan?
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
 
Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo. View attachment 2934224
that is the best he can do? Tuna tatizo kubwa kama nchi
 
Jezi hatuvaii lakini sisi simba tutashangilia mamelod ,,


Hii sio inchi ya utumwa huwezi kumpangia mtu timu anayopenda..au kuishabikia.

Mihemko yenu NYUMA MWIKO FC msitake kuchonganisha wanainchi na serikali.

Mlianza nyie na sisi tunamaliza
 
Back
Top Bottom