Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi inapochezwa kunakuwa na jukwa la timu mwenyeji na timu pinzani tuSimba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.
Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Huyo Jemedar wenu ni mtu mmoja mpuuzi sana.Wewe jamaa ni mwehu kweli..Jemedari said ameshakuwa mpaka na cheo TFF .kipindi Azam anachukua kombe la Ligi kuu Jemedar said ndio alikuwa msuka mipango na kiongozi pale kwenye timu ya Azam usirudie tena kuandika usichokijua..
Oya hawa Mikia unaenda nao sawa sana mzee.Ndugu mbumbumbu unafahamu kua wakati Yanga anacheza mechi yake ya mwisho katika makundi na anatoa sare ya 3 -3 1998 na Raja Casablanca pale Taifa Baadhi ya mashabiki wa Simba walivaa jezi za Raja zile nyeupe?
Kwanini zibaki hizo tu? 🤣🤣🤣Sasa kama nguo zangu chafu au zimenyeshewa na mvua na jersey iliyobaki ni ya mamelodi au al alhy kwahiyo nisiende uwanjani?