Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

Nadhani hio itakuwa Tongue in Cheek kiushabiki shabiki sidhani kama yupo serious Sababu hatua Stahiki ni Ipi ? Huenda kupewa Jezi 1000 za Simba na Yanga ?
 
Yaani huo utani wa jadi ndo uliozifikisha hapo hizo timu.

Huwaga kuna propaganda za wapinzani kusaidiwa mbinu na mtani mmojawapo ila hazijawahi kuthibitishwa zaidi ya kutumika na wachambuz uchwara na watu maarufu kupata wafuasi.
 
Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.

Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Mechi inapochezwa kunakuwa na jukwa la timu mwenyeji na timu pinzani tu
 
Wewe jamaa ni mwehu kweli..Jemedari said ameshakuwa mpaka na cheo TFF .kipindi Azam anachukua kombe la Ligi kuu Jemedar said ndio alikuwa msuka mipango na kiongozi pale kwenye timu ya Azam usirudie tena kuandika usichokijua..
Huyo Jemedar wenu ni mtu mmoja mpuuzi sana.
Ndugu mbumbumbu unafahamu kua wakati Yanga anacheza mechi yake ya mwisho katika makundi na anatoa sare ya 3 -3 1998 na Raja Casablanca pale Taifa Baadhi ya mashabiki wa Simba walivaa jezi za Raja zile nyeupe?
Oya hawa Mikia unaenda nao sawa sana mzee.

........Hapa nilipo nishaanda jezi ya Mwarabu nasubiri hiyo siku ifike.

Yaani Mimi kuisupport Mikia hata waweke kisu shingoni haiwezekani hata siku moja.
 
Watanzania Usimba na Uyanga umetufanyatumekuwa mazuzu.
Kuna watu humu wamekaza mafuvu ya vichwa kupinga uzalendo wa nchi yao.
 
Kama nawaona wafuasi wa zumaridi walionunua jezi za mamelodi
 
Waache siasa kwenye mpira.

Mpira ni mchezo huru na shabiki yupo huru kupenda na kushangilia timu yeyote.

Ushabiki hauendani na utaifa. Kabila. Dini wala asili ya mtu.

Tanzania kuna mashabiki wa AlAhliy , Mamelody, Mazembe, n.k .

Tusiwanyime haki ya kupokea na kushangilia timu wazipendazo.

Tusilazimishe mashabiki wa Azam, JKT, Mashujas, Namungo n.k washangilie simba na Yanga.

Mpira siyo dola ya kisiasa aisee
 
Wapuuzi nini mie navyopenda mziki wa amapiano nishindwe kushabikia chama langu la 🌞 down dadeki zaoo
 
Back
Top Bottom