Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Hiyo sheria inajulikana na waziri peke yake?Sheria anaijua Waziri ataitoa siku hiyo utakapokamatwa.
Halafu Wasauzi wanasema Kwanza wamevaa jezi feki 🤣🤣
Wewe jamaa ni mwehu kweli..Jemedari said ameshakuwa mpaka na cheo TFF .kipindi Azam anachukua kombe la Ligi kuu Jemedar said ndio alikuwa msuka mipango na kiongozi pale kwenye timu ya Azam usirudie tena kuandika usichokijua..Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.
Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
Nyie ndio walewale ma mbulula, Jemedari pale Tff aliwekwa na Salum Madadi mtu wa kwao uko.Wewe jamaa ni mwehu kweli..Jemedari said ameshakuwa mpaka na cheo TFF .kipindi Azam anachukua kombe la Ligi kuu Jemedar said ndio alikuwa msuka mipango na kiongozi pale kwenye timu ya Azam usirudie tena kuandika usichokijua..
Huyu Waziri ana PhD.Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo. View attachment 2934224
Wewe jamaa either una mtindio wa ubongo au ulivyozaliwa hujalia ukatiwa kidole ndo ukalia.Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.
Nakumbuka mwaka 2016 wakati Yanga wanacheza mechi ya ligi siku chache kabla ya kuwavaa Mazembe katika mechi za makundi ya Caf Confederation cup.
Katika jukwaa la Mashabiki wa Simba baadhi walikua wamevaa jezi za TP Mazembe.
Nazungumzia 2016 Wakati Jemedari Saidi bado anapiga Salfa kwenye mikorosho uko kwao.
Maana amaekua akizungumza vitu vingi asivyo vifahamu katika soka la bongo kwa kuhadithiwa na yeye kuvirusha hewani.
sasa huyo anahusika na viwanda na biashara mkuu? huyo anaongelea kwenye engo ya wizara yake hajakosea.Hawa ndio viongozi wetu na akili zao ndio zilipoishia,badala wapambanie sukari na madawati wamekuja kwenye michezo kupiga mikwara.
Huyu mhalifu achukuliwe hatua kali retroactively
Ndugu mbumbumbu unafahamu kua wakati Yanga anacheza mechi yake ya mwisho katika makundi na anatoa sare ya 3 -3 1998 na Raja Casablanca pale Taifa Baadhi ya mashabiki wa Simba walivaa jezi za Raja zile nyeupe?Wewe jamaa either una mtindio wa ubongo au ulivyozaliwa hujalia ukatiwa kidole ndo ukalia.
2010/11 Simba anacheza na Mazembe hapa kwa mkapa Simba anakufa 3-2 game inayomtoa samatta anaenda mazembe Yanga walivaa mashuka au sidiria ya mkeo.
Au wakati huo ulikuwa kwenu Tandahimba
Wapumb.avu kama nyie hata kuwajibu ni aibu kwangu. 1998 Yanga walicheza Ligi ya mabingwa Dar uwanja wa Taifa? [emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu mbumbumbu unafahamu kua wakati Yanga anacheza mechi yake ya mwisho katika makundi na anatoa sare ya 3 -3 1998 na Raja Casablanca pale Taifa Baadhi ya mashabiki wa Simba walivaa jezi za Raja zile nyeupe?
Ila Jemedari Said ni mbwiga wa mbwiga aisee.Simba ndio waanzilishi wa kuvaa jezi za wageni waapokuja kucheza nchini.