Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Heshima ni kuongeza point ambazo zinawezesha nchi kutoa jumla ya timu nne mashindano ya CAF...Heshima ni kubeba makombe tu. Vinginevyo ni ahsante kwa kushiriki
Unajua sababu zilozokufanya wewe utopwinyo kutokuanzia Mechi zako away...??