Hapa simba waliitwa underdog lakini mafuta yakajitenga na maji

Heshima ni kubeba makombe tu. Vinginevyo ni ahsante kwa kushiriki
Heshima ni kuongeza point ambazo zinawezesha nchi kutoa jumla ya timu nne mashindano ya CAF...

Unajua sababu zilozokufanya wewe utopwinyo kutokuanzia Mechi zako away...??
 
Uchawi, kula makaburini na kunyunyiza dawa vyumbani.
Kwani warabu hawafanyi fitna wakiwa nyumbani Africa hakuna team ambayo haifanyi fitna ikiwa nyumbani inatofautiana aina ya fitna tu.
 
Mashabiki wa simba mmebaki kua mnajisifia hicho,ila ujue hakuna sifa zaidi ya Kombe mngekua mmebeba kombe hicho ndio ingekua Sifa kubwaaaa hata kama Yanga wangekua wanawafunga daily.
Look pale England Man-U wabovu ila daily wanajivunia Terble yao na Team zinakaa kimyaaaa ila ushawahi sikia Aseno anajivunia kushiriki UEFA Mara Nyingi zaidi ya TOttenham?
Wa-Tz badilikeni Sifa ni Kombe sio Makundi wala Robofainali kama huna KOMBE WE NI MWAJUMA MWANCHOKONOLE TU.
 
Lakini pia hata huko ulaya huwezi kulinganisha team zinazoingia UEFA kila msimu (hata kama hazina kombe) na team ambazo haziingii kabisa.

Bado kuna madaraja tu.
 
Sawa Sawa Team Ni Moja Simba Sports Club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…