Hapa Tanzania ilipo ina serikali nne!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Nashangaa wanao sema eti serikali tatu ni mzigo. Mbona serikali nne sii mzigo?.
Tanzania kuna serikali
1. serikali za mitaa
2. serikali kuu
3. serikali ya zanzibar
4. serikali ya muungano.
Lakini mtaani tunadanganywa eti ni serikali mbili.
Wanasiasa vipi hamjui hesabu au mnaficha makusudi??. Naomba mnifafanulie. Mia
 
No matter how good she looks, someone somewhere is tired of her shit.
 
Mkuu ahsante kwa kunifanya nicheke,nikmaliza kufturu ntakufafanulia maana ya selikali tatu
 
Na zile serekali za wanafunzi mashuleni je?
 

he?! kweli aise. ha ha ha ha....... you made my day man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…