figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Nashangaa wanao sema eti serikali tatu ni mzigo. Mbona serikali nne sii mzigo?.
Tanzania kuna serikali
1. serikali za mitaa
2. serikali kuu
3. serikali ya zanzibar
4. serikali ya muungano.
Lakini mtaani tunadanganywa eti ni serikali mbili.
Wanasiasa vipi hamjui hesabu au mnaficha makusudi??. Naomba mnifafanulie. Mia