TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu mashuhuri na waliokuwa na ushawishi kwa taifa.
Kesi kama hizi zipo nyingi sana zikimuhusisha JK na hata SSH,Tumeshuhudia wqkipokea mabilioni ya pesa kwa kigezo cha harambee,wakigawa basketball na hata fedha mchana kweupe tena mbele ya Kamara.
TAKUKURU ni kwamba hawaoni au haya yote ni sawa tu?.
TAKUKURU inapaswa kuwa huru,sheria ya TAKUKURU Iboreshwe.