Hapa Tanzania kuna redio na kuna WCB FM,hawa jamaa ni noma

Ukisikia wimbo wa Rich Mavoko nitag
 
Hawa Jamaa Wamepataje Frequency Wakati Tcra Wamesema Hawatatoa Tena Kwa Jiji La Dar
In africa it is about who you know .....hya mambo ya sheria sijui kanuni kwa africa huwa hayatiliwi maanani sana.
 
Wanatumia Frequency ya Coconut FM ambayo ilisajiliwa Zanzibar..

Dar frequency zimejaa kila Kona redio
Sasa hpa naanza kuunganisha dots!!!....coconut fm si ilikuwa ya clouds?
 
Coconut fm mbona ni ya clouds media imekuaje tena
ndo mjue hii ni mali ya kusaga kuna uzi huku jf wa shareholders wa media zote,asilimia karibu 88 ya wasafi tv na fm inamilikiwa na mtu anajiita mzee tyson,diamond ana asilimia 8 tu
 
Ukisikia wimbo wa Rich Mavoko nitag
Mambo ya biashara yana siri nyingi ndugu. Pale diamond yupo kama balozi ili kutengeneza image ya biashara usitegemee awe na maamuzi ya kuzuia wimbo was msanii usipigwe. Yeye sio sehemu ya uongozi japo kavikwa cheo cha mkurugenzi kuficha ukweli ila yupo kama joka la mdimu. Kipindi wanakarabati lile jengo na kufunga mitambo wadogo zake kusanga walikua wanakesha pale wanasimamia show. Ndo maana mi nacheka sana kila mara nionapo watu wanatupiana madongo kuhusu Clouds na Wasafi au Fiesta na wasafi Festival wote ni watoto wa baba mmoja ila zinatengenezwa kiki za kuwagombanisha ili mandezi mtaani wasijue nini kinaendelea... Hii mbinu inaweza kuwa imetengenezwa makusudi kumkabili majizo wa EFM na TV. Kipindi anakuja kwa kasi na kuanza kuuchukua hatamu Mara ghafla anaibuka Wasafi na kusepa na kijiji. Naamini adui wa clouds sio Wasafi bali adui wao ni efm na tv
 
full full zinapigwa,nmeskia mbili leo
Lazima wapige..mfadhili wa Wasafi festival....hakuna radio itakayokuja kuizidi Clouds..ni marudio tu waliyoyafanya miaka 20 iliyopita
 
Lazima wapige..mfadhili wa Wasafi festival....hakuna radio itakayokuja kuizidi Clouds..ni marudio tu waliyoyafanya miaka 20 iliyopita
Una chuki brother kiba toka lini kawa mfadhili wa wasagi festival ama ile post yake imekuchanganya, katika biashara ukikua sanaaa unaanguka clouds fm maeneo mengi sana imeanza kusikika 2012 nyuma ilikua haisikiki maeneo kama geita, ukerewe, mpanda n.k
 
jamani wakianza na zilipendwa au hata Lingala mtuambie na sisi wa huku bara tutafute
lakini haya manyimbo yanayotumia mashine kupiga gitaa na saxaphone sisi wahenga bado sana
 
kama Ni Kweli Mondi Ni Mjinga
Wajanja Washaelewa Namaanisha Nini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…