Hapa Tanzania kuna redio na kuna WCB FM,hawa jamaa ni noma

Hapa Tanzania kuna redio na kuna WCB FM,hawa jamaa ni noma

88.9 Frequency si coconut FM ya Zanzibar? Kuna uhusiano wowote kati ya Coconut FM na Wasafi FM? Mmiliki ni mmoja?
 
ndo mjue hii ni mali ya kusaga kuna uzi huku jf wa shareholders wa media zote,asilimia karibu 88 ya wasafi tv na fm inamilikiwa na mtu anajiita mzee tyson,diamond ana asilimia 8 tu
Ni hatari watu wanachezewa mchezo hapa, hawa jamaa wapo kibiashara zaidi, kwanza the whole thing inaitwa bifu kati ya wasafi na clouds FM ukute ni ya kutengeneza ili kupiga pesa tu.
 
Kudadeiki WCB noma sana,
Ni jiwe baada ya jiwe, ngomaa baada ya ngoma huku kukiwa pe ya Konki konki konki master kwa mbali, yaani ni full full hata wale waliobaniwa airtime,huku unamsikiliza Matonya,Dudu mara Fid mara Langa yaani huku playground iko tambarare hata wale tuliowapenda lkn hatukuwasikia sababu walikuwa na matatizo na Ruge huku ngoma zao zinapigwa mwanzo mwisho mara komando Jide aisee.
Kwa mara ya kwanza WCB anaenda kumaliza hii monopoly
Daimondo ni shida
 
sasa watu bado hawaja tambulisha vipindi ulikuwa wataka wafanye nini zaidi ya kupiga music non stop ..

sifa nyingine mnazozitoaga bwana hazina hata mashiko
 
Hii coconut fm za zanzibar ina uhusiano mkubwa sana na kusaga,naanza kuamini kua hata hii wasafi kusaga ana mkono wake
Kabisa kama Coconut ni ya kusaga basi na Wasafi FM ni Kusaga pia sio kwa upendo huo wa mshumaa naona hadi Cocunut watatumia frequency nyingine kurusha matangazo yao.
 
Kabisa kama Coconut ni ya kusaga basi na Wasafi FM ni Kusaga pia sio kwa upendo huo wa mshumaa naona hadi Cocunut watatumia frequency nyingine kurusha matangazo yao.
huu Utumikaji Wa Mondi Binafsi Sijapendezwa Nao
Ningemuona Zaidi Ya Mjanja Kama Angekua Anamiliki Zaidi Ya 90% Ya Hisa Kwenye Ivi Vituo
 
Inshort Wasafi FM ni ya JOSEPH KUSAGA. Dai anashea ndogo sana
hii coconut fm ndiyo ipo hadi mombasa? Na hii ni ya Kusanga pia... Kama haipo Mombasa basi itakuwa Zanzibar

Diamond atakuwa anamiliki hisa ndogo kiasi kwamba siku moja atapewa mshiko na kuondolewa kwenye sehemu ya umiliki.........


Lakini siyo mbaya kwa hatua aliyo fikia Diamond ni mbali sana...
 
Nawaona team clouds mnavo yumba,, aiseee mtapata taabu sanaaa
 
Haieleweki...yaani wafanyakazi wako watajwe list ya mashoga...then bado album aliyewadhalilisha anapewa shavu lines Wasafi Festival
 
Back
Top Bottom