King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni hatari watu wanachezewa mchezo hapa, hawa jamaa wapo kibiashara zaidi, kwanza the whole thing inaitwa bifu kati ya wasafi na clouds FM ukute ni ya kutengeneza ili kupiga pesa tu.ndo mjue hii ni mali ya kusaga kuna uzi huku jf wa shareholders wa media zote,asilimia karibu 88 ya wasafi tv na fm inamilikiwa na mtu anajiita mzee tyson,diamond ana asilimia 8 tu
Katofautishe kati ya konk na konki halafu urudi tenaKonki konkiiiiiView attachment 924002
Daimondo ni shidaKudadeiki WCB noma sana,
Ni jiwe baada ya jiwe, ngomaa baada ya ngoma huku kukiwa pe ya Konki konki konki master kwa mbali, yaani ni full full hata wale waliobaniwa airtime,huku unamsikiliza Matonya,Dudu mara Fid mara Langa yaani huku playground iko tambarare hata wale tuliowapenda lkn hatukuwasikia sababu walikuwa na matatizo na Ruge huku ngoma zao zinapigwa mwanzo mwisho mara komando Jide aisee.
Kwa mara ya kwanza WCB anaenda kumaliza hii monopoly
Wametumia grisi kulainisha mamboHawa Jamaa Wamepataje Frequency Wakati Tcra Wamesema Hawatatoa Tena Kwa Jiji La Dar
Hii coconut fm za zanzibar ina uhusiano mkubwa sana na kusaga,naanza kuamini kua hata hii wasafi kusaga ana mkono wake88.9 Frequency si coconut FM ya Zanzibar? Kuna uhusiano wowote kati ya Coconut FM na Wasafi FM? Mmiliki ni mmoja?
Kabisa kama Coconut ni ya kusaga basi na Wasafi FM ni Kusaga pia sio kwa upendo huo wa mshumaa naona hadi Cocunut watatumia frequency nyingine kurusha matangazo yao.Hii coconut fm za zanzibar ina uhusiano mkubwa sana na kusaga,naanza kuamini kua hata hii wasafi kusaga ana mkono wake
huu Utumikaji Wa Mondi Binafsi Sijapendezwa NaoKabisa kama Coconut ni ya kusaga basi na Wasafi FM ni Kusaga pia sio kwa upendo huo wa mshumaa naona hadi Cocunut watatumia frequency nyingine kurusha matangazo yao.
Inshort Wasafi FM ni ya JOSEPH KUSAGA. Dai anashea ndogo sanaSasa hpa naanza kuunganisha dots!!!....coconut fm si ilikuwa ya clouds?
Tune kwenye kingamuzi cha AzamNaisubir kwa hamu ifike na huku kwetu kolomije
hii coconut fm ndiyo ipo hadi mombasa? Na hii ni ya Kusanga pia... Kama haipo Mombasa basi itakuwa ZanzibarInshort Wasafi FM ni ya JOSEPH KUSAGA. Dai anashea ndogo sana