Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

Mzee upo misungwi hapo?, nina ka trip ka huko ila sijui ni lini.

iki pendeza nita kuja tuchome k mbuzi na maziwa mgando.
Karibu sana.

Utakula nyama mpaka ukimbie. Hata ukitaka zile "nyama" zingine pia zipo za kumwaga tena grade A kabisa ndembendembe 😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
1. Singida hakuna
2. Mbeya hakuna
3. Arusha hakuna
4. Kilimanjaro hakuna
Arusha gan hiyo haina umeme? Yaan ukatike mtaani kwako basi iwe nongwa?

Hebu tuweni na staha na kuvumilia mambo madogo yanayoweza kutolewa ufafanuzi.

Huku ni kuleta taharuki tu.
 
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KWENYE MIUNDO MBINU YETU YA UMEME

Habari wapendwa wateja wetu

Tunaomba kuwataarifu kuwa tunalazimika kuzima huduma ya umeme ili kuruhusu mafundi Kuunganisha mradi utakaosaidia kuboresha upatikanaji wa umeme maeneo ya ubungo makao makuu.

SIKU: Jumamosi

TAREHE. 15/03/2025

MUDA


Kuanzia Saa 04:30 Asubuhi Hadi Saa 05:00 Asubuhi kwa muda wa nusu saa

MAENEO YANAYOATHIRIKA

KMARA, KIBO, KIMARA ROMBO, KIMARA BARUTI, DOCHA, KONA, KIMARA BUCHA, KOROGWE, RESORT, KIMARA MWISHO, KIMARA MAVURUNZA, GOLANI, KIMARA MICHUNGWANI, MATETE, KAM COLLEGE, EBONITE NA MAENEO YA JIRANI, Tanroad ubungo , PVC ubungo na Maeneo Jirani.

Tunawaomba radhi wateja wetu kipindi hiki tunachoendelea kuboresha miundombinu ya umeme.

Kwa taarifa au ulizo wasilana nasi kwa namba 0756251753 au 0748550000
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Tanesco Kinondoni Kusini
15/03/2025
Hapo kwenye muda sijaelewa😒
 
Back
Top Bottom