milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
- Thread starter
-
- #61
Ni wapi bosi wanguChunya siyo mbeya mkuu
SongweNi wapi bosi wangu
🤣🤣🤣🤣Songwe
Hujui🤣🤣🤣🤣
Nimekusoma ! Ila Geography ulifeli mkuuHujui
Ilikuwa mbeya sasa ipo mkoa wa songweNimekusoma ! Ila Geography ulifeli mkuu
Saza na makongorosi ndio ipo songweIlikuwa mbeya sasa ipo mkoa wa songwe
Vyote vipo wapi...au ni Rungwe hiyo?Saza na makongorosi ndio ipo songwe
Vyote vipo wapi...au ni Rungwe hiyo?
Sawa Asante...ila mbeya tuna umeme tangu asubuhi