Hapa wamekaa pamoja tena kwa kutabasamu watu ambao miaka 10 iliopita waliwindana kuuana

Hapo yupo ndani ya mfumo wao,anawanufaisha.....akiwageuka anakuwa adui
 
Ndiyo muone unafiki wa magharibi hapo anatumikia maslahi yao akikengeuka tu anakuwa adui .
Kamsemo Chao hawana rafiki wa kudumu au adui wa kudumu
Fxck socialism
Fxck Marxism
Fxck Communism
Fxck Jihad.

BAKINI NA UTAPELI WENU
 
Siasa ni unafiki na Dunia nzima inaendeshwa kinafiki.
Dunia haitaki watu walionyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…