Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
π π kwani tumezoea kukaguliwa silaha, na vitu vingine ambavyo unaweza kutumia kujeruhi watu lakini naona wanapita nazo tuWaufukweni, swali lako limenichekesha sana! π Hapo sasa ndio utata unapoanzia kabisa. ila wao hawatokosa jibu,
π π π usikute wanakagua mabomulabda visu au bastora ya dharuraπ
Viwembe na upupuπ π π usikute wanakagua mabomu