Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Watu huenda taratibu...Nimekataliwa mwenzio tayar [emoji45][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. [emoji848][emoji848][emoji848]Watu huenda taratibu...
Urafiki wa humu ndani kwanza, kwani hata mshadumu dk ngapi hapa na urafiki wenu mkuu!
Mzoeane kwanza! Hayo mengine huja taratibu tuu
Hahaaaa[emoji2960][emoji2960][emoji2958]
Daa ni kweli mkuu.
Ngoja nitafakal cha kufanya nisibak mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni mbinu ya kwanza, ya pili ni kujitolea vocha za MB, maana huyu ni sportswoman unamwambia chukua MB hizo urushe video za magoli ya kina Pogba, Ronaldo, Benzema nk. Unajitahidi kila weekend unafanya hivyo, buku 5 za MB si haba, mwezi mmoja ukipita siku ya siku unamwambia niko sehemu hakuna vocha nipe namba nikuunge moja kwa moja, fasta namba unapewa. Hapo ulishaenda nje tayari.
Mie hata sijui mkuuNikumbushe hivi hilo jina lako ni dawa inayotumika kwa kutibu nn kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app