HAPA WENGINE WOTE MKASOME,,

HAPA WENGINE WOTE MKASOME,,

Hahaaaa[emoji2960][emoji2960][emoji2958]
Daa ni kweli mkuu.

Ngoja nitafakal cha kufanya nisibak mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni mbinu ya kwanza, ya pili ni kujitolea vocha za MB, maana huyu ni sportswoman unamwambia chukua MB hizo urushe video za magoli ya kina Pogba, Ronaldo, Benzema nk. Unajitahidi kila weekend unafanya hivyo, buku 5 za MB si haba, mwezi mmoja ukipita siku ya siku unamwambia niko sehemu hakuna vocha nipe namba nikuunge moja kwa moja, fasta namba unapewa. Hapo ulishaenda nje tayari.
 
Acha huto tuhela tudogo, siku niki bet nikala kama laki 2 kama kawaida nikiwaga na upepo.

Namtumia yote laki 2, hapo vip[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Tena sikia ishia hapo usinifundishe kila kitu.
Hiyo ni mbinu ya kwanza, ya pili ni kujitolea vocha za MB, maana huyu ni sportswoman unamwambia chukua MB hizo urushe video za magoli ya kina Pogba, Ronaldo, Benzema nk. Unajitahidi kila weekend unafanya hivyo, buku 5 za MB si haba, mwezi mmoja ukipita siku ya siku unamwambia niko sehemu hakuna vocha nipe namba nikuunge moja kwa moja, fasta namba unapewa. Hapo ulishaenda nje tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mbona hizi nyuz dizain hii zinakuja kwa kasi halaf istoshe mwisho wa mwaka?..nisijiulze sanaa ngoja nikashtua msuba akili itakaa sawa
 
Maswaiba tunajuana
GBWA-20181229001821.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom