Hapana chezea mwanamke

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,595
Reaction score
4,775
Ninawatafakari wanawake leo. Ungana nami tuone jinsi walivyo na uwezo wa hali ya juu katika kila nyanja. Wakati mwingine sio lazima wawezeshwe wakiamua kila jambo wanaweza.

Hakika Mungu aliwapendelea sana wanawake, akawaumba vizuriii na kuwapa kila aina ya uwezo. Eva alifanya tunda lililokatazwa likaliwa, hebu fikiria jinsi Adam alivyokuwa karibu na Mungu na kujua kila kitu lakini bado aliwezwa! Esther alimfanya mfalme atangaze kutoa nusu ya ufalme wake, Delila uwwiiiiii ndio usiseme.

Ungana nami tutafakari kuhusu viumbe hawa kwa mifano na waliyoyafanya kwa lengo la kuwafahamu vizuri sio matusi na malumbano.
 
Ndio ujiulize Kwa Nini Mungu alisema haya
1 peter 3:7 Kadhalika ninyi waume kaeni na wake zenu kwa AKILI ................
Mungu amewapa uwezo mkubwa wa kiakili na wana ''manipulative power'' (they can easily manipulate and be manipulated)

Tena ikasemwa ktk Yeremia 31 ''Mungu amefanya jambo jipya duniani, kuwa Mwanamke ATAMLINDA Mme wake.
 
kweli wanawake ni jeshi kubwa!

Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa
 
Ndio ujiulize Kwa Nini Mungu alisema haya
1 peter 3:7 Kadhalika ninyi waume kaeni na wake zenu kwa AKILI ................
Mungu amewapa uwezo mkubwa wa kiakili na wana ''manipulative power'' (they can easily manipulate and be manipulated)

Sawa kabisa, hawa viumbe usipowajulia utajuta kuwajua!

Kuna mifano mingi kuonyesha hiyo, unjua wowote tutafakari pamoja
 
Wanawake hawajajua nguvu yao katika ndoa na jamii zetu hizi.
Hakuna haja ya kuwawezesha, wao wenyewe wanatakiwa wajitambue their abilities.
 
Ukiangalia upande wa dini hasa ya ukristo wao ndo walio mbele kwenye mambo mengi, wanaume tunakamilisha ratiba tu.
 
Khaa!! Mbona tunaambiwa kati ya siku 3 - 5 kwa mwezi huwa nusu vichaa kwasababu za kibiologia? Mbona tunaambiwa tuishi nao kwa akili? Mbona tunaambiwa mwalimu wao ni kipofu? Nauliza tu..
Note: Nina bibi, mama, shangazi, dada na shemeji..
 
Sawa kabisa, hawa viumbe usipowajulia utajuta kuwajua!

Kuna mifano mingi kuonyesha hiyo, unjua wowote tutafakari pamoja

Kuna huyu tuliyeambiwa Jana na askofu
 
Khaa!! Mbona tunaambiwa kati ya siku 3 - 5 kwa mwezi huwa nusu vichaa kwasababu za kibiologia? Mbona tunaambiwa tuishi nao kwa akili? Mbona tunaambiwa mwalimu wao ni kipofu? Nauliza tu..
Note: Nina bibi, mama, shangazi, dada na shemeji..
Ndio nguvu zao hizo.
 
Wanawake wana uwezo mkubwa sana wa kuamua hatma ya ulimwengu. Ubaya ni kuwa wengi wanaongozwa na hisia zaidi. Rebecca(Isaac's wife) could've ruined the lives of Jacob and Esau for that stunt she pulled. Beware!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…