majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Ninawatafakari wanawake leo. Ungana nami tuone jinsi walivyo na uwezo wa hali ya juu katika kila nyanja. Wakati mwingine sio lazima wawezeshwe wakiamua kila jambo wanaweza.
Hakika Mungu aliwapendelea sana wanawake, akawaumba vizuriii na kuwapa kila aina ya uwezo. Eva alifanya tunda lililokatazwa likaliwa, hebu fikiria jinsi Adam alivyokuwa karibu na Mungu na kujua kila kitu lakini bado aliwezwa! Esther alimfanya mfalme atangaze kutoa nusu ya ufalme wake, Delila uwwiiiiii ndio usiseme.
Ungana nami tutafakari kuhusu viumbe hawa kwa mifano na waliyoyafanya kwa lengo la kuwafahamu vizuri sio matusi na malumbano.