Hapana chezea mwanamke

bila kuwasahau

- nabii debora na bibi jael katika ukombozi wa israel dhidi ya utawala wa mfalme jabin wa kanaani. bila hawa kamanda barak asingefanya kitu (Judges/wafalme 4)

- rahab (kahaba mstaafu). kazi yake ilisaidia israel kupata nchi na akapewa heshima katika israel ingawa hakuwa mwisrael na ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa katika geneology ya Yesu

- mamaa mwenye malkia Jezebel!!

- herodia, mke-shemeji wa herode - huyu ali-engineer nabii yohana kukatwa kichwa kisa yohana aliingilia penzi lake na herode. alikuwa mke wa kaka wa herode aitwaye filipo.

-wanawake 1000 wa mfalme suleiman. hawa walimfanya suleiman akakosana na Mungu, labda hata na mbingu.

- dorcas. nampenda sana huyu mama

- winnie mandela - pamoja na madudu yake ninamuenzi

- kate kamba

- titi mohamed

- bibi yangu

-mama yangu

- halima mdee na wengineo

nguvu ya mwanamke ikitumika vizuri ni baraka kwa dunia, ikitumika vibaya na majanga kwa dunia. wanawake na wanaume waheshimiane.
 
inabidi tuwe nao karibu nasi kwa vile hatuwezi kuisi bila uwepo wao
 
Wema sepetu pia msisahau,pamoja na yote bado anakula shavu ndan ya vyama vya siasa
 
Hata Mkapa aliambiwa huwezi ongoza nchi bila Kuwa na mke ikabidi jamaa ajirudi taratibu,
 
Jeshi kubwa la kupiga selfie za instagram na kwenye mitandao mingine ya kijamii!!

hujaelewa.

wasome hawa

bila kuwasahau

- nabii debora na bibi jael katika ukombozi wa israel dhidi ya utawala wa mfalme jabin wa kanaani. bila hawa kamanda barak asingefanya kitu (Judges/wafalme 4)

- rahab (kahaba mstaafu). kazi yake ilisaidia israel kupata nchi na akapewa heshima katika israel ingawa hakuwa mwisrael na ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa katika geneology ya Yesu

- mamaa mwenye malkia Jezebel!!

- herodia, mke-shemeji wa herode - huyu ali-engineer nabii yohana kukatwa kichwa kisa yohana aliingilia penzi lake na herode. alikuwa mke wa kaka wa herode aitwaye filipo.

-wanawake 1000 wa mfalme suleiman. hawa walimfanya suleiman akakosana na Mungu, labda hata na mbingu.

- dorcas. nampenda sana huyu mama

- winnie mandela - pamoja na madudu yake ninamuenzi

- kate kamba

- titi mohamed

- bibi yangu
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…