Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa
Western propaganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa
Yup? fafanua basi Mkuu! wa nchi gani?
ukitaka kujua nguvu za mwanamke kamuulize samson kwa delila, adam kwa eva na angalia ester alivyolikomboa taifa lake
kweli wanawake ni jeshi kubwa!
Jeshi kubwa la kupiga selfie za instagram na kwenye mitandao mingine ya kijamii!!
Jeshi linaloweza kutumika vema au vibaya. Wanawake tushikamane hawa wanaume wasitusumbue na kututawala. Bado wamama wengi wananyanyaswa na wanaume... hii sio sawa
MmhNinawatafakari wanawake leo. Ungana nami tuone jinsi walivyo na uwezo wa hali ya juu katika kila nyanja. Wakati mwingine sio lazima wawezeshwe wakiamua kila jambo wanaweza.
Hakika Mungu aliwapendelea sana wanawake, akawaumba vizuriii na kuwapa kila aina ya uwezo. Eva alifanya tunda lililokatazwa likaliwa, hebu fikiria jinsi Adam alivyokuwa karibu na Mungu na kujua kila kitu lakini bado aliwezwa! Esther alimfanya mfalme atangaze kutoa nusu ya ufalme wake, Delila uwwiiiiii ndio usiseme.
Ungana nami tutafakari kuhusu viumbe hawa kwa mifano na waliyoyafanya kwa lengo la kuwafahamu vizuri sio matusi na malumbano.
hujaelewa.
wasome hawa
bila kuwasahau
- nabii debora na bibi jael katika ukombozi wa israel dhidi ya utawala wa mfalme jabin wa kanaani. bila hawa kamanda barak asingefanya kitu (Judges/wafalme 4)
- rahab (kahaba mstaafu). kazi yake ilisaidia israel kupata nchi na akapewa heshima katika israel ingawa hakuwa mwisrael na ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa katika geneology ya Yesu
- mamaa mwenye malkia Jezebel!!
- herodia, mke-shemeji wa herode - huyu ali-engineer nabii yohana kukatwa kichwa kisa yohana aliingilia penzi lake na herode. alikuwa mke wa kaka wa herode aitwaye filipo.
-wanawake 1000 wa mfalme suleiman. hawa walimfanya suleiman akakosana na Mungu, labda hata na mbingu.
- dorcas. nampenda sana huyu mama
- winnie mandela - pamoja na madudu yake ninamuenzi
- kate kamba
- titi mohamed
- bibi yangu
mimi evelyn salt nime........